NYOTA wa Kitanzania, Clement Mzize ndilo jina ambalo linatembea kwa sasa vinywani mwa mashabiki wa Yanga, nyota yake ikizidi ...
USHINDI katika dakika 90 Jumapili hii kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma baina ya Mashujaa na Yanga una maana kubwa kwa ...
UBINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu huu ni kama kaa la moto, kwani timu zinazokimbizana kileleni zile tatu kila moja ipo mawindoni ikilisaka taji ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayopambana kulitetea.
EVERTON imenyumwa penalti kwenye dakika za majeruhi wakati Manchester United ikipambana kutoka nyuma na kuambulia sare ya ...
LIVERPOOL imetikisa nyavu mara 62 kwenye Ligi Kuu England hadi sasa. Manchester City yenyewe imetupia kwenye nyavu za ...
REAL Madrid imeripotiwa kufungua milango ya kumpiga bei kiungo Eduardo Camavinga kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ...
MABOSI wa Liverpool wameshauriwa kufungua pochi kumsajili straika wa Newcastle United, Alexander Isak kwenda kuchukua mikoba ...
ARSENAL na Liverpool zinaweza kujikuta kwenye wiki moja matata itakayowafanya kuwa kwenye vita kali ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England na ule wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
MASHABIKI wa Arsenal wanaweza kuwa kwenye presha kubwa baada ya kufahamu kuna uwezekano wa kukwaruzana na Real Madrid kwenye ...
Mabingwa hao mara 20 wa England walikosa wachezaji 12 wa kikosi cha kwanza katika mechi dhidi ya Tottenham Hotspur wikiendi iliyopita kutokana na kuwa majeruhi na wengine kuwa wagonjwa na ...
KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amesema ana kazi kubwa ya kufanya katika michezo ya mzunguko huu wa pili, ...
WADAU tofauti wa michezo na tiba wametoa maoni juu ya kile wanachoamini ni suluhisho la kumaliza changamoto ya uwepo wa madaktari kwa baadhi ya timu za Ligi Kuu ambao hawajasajiliwa na Baraza ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results